Header Ads

Breaking News

UFAULU BORA - CHEMSHA BONGO YA KIINGEREZA - 29 SEPTEMBA, 2017

Hurah!

Hongera sana Elias Emmanuel na Francis Phabian!
Francis Phabian (Kushot) na Elias Emmanuel (Kulia) pamoja na rafiki zao

Ni furaha kubwa sana kuonekana kwenye blogu hii kwa siku ya leo!
Mmefanya vyema kwa kufaulu vizuri chemsha bongo kwa siku ya leo!
Hongereni sana na sana! Kupata alama zote ni jambo jema na si rahisi! Kazeni buti zaidi!
Alama bora zaidi mzipate mfikapo sekondari na hata mbele zaidi!

HONGERENI!!!

Mimi mwalimu wenu
Goustone Isole

No comments