WANAFUNZI BORA WA KUSOMA KIINGEREZA -25 SEPT 2017
Habari mpendwa!
Leo tarehe 25 Septemba, 2017 katika somo la Kiingereza, wanafunzi watatu katika picha hapa chini wameweza kuwa bora! Hii ni kwa sababu wameonesha kujiamini, kutamka maneno ya Kiingereza kwa ufasaha na kutoa sauti nzuri iliyoweza kusikika darasa zima!
Hongera kwenu Careen, Emanuel na Dorene!
![]() |
Kutoka Kushoto: Careen, Emanuel na Doreen |
No comments