ZIARA - MESERANI SNAKES PARK
Habari mwanafunzi!
Habari yako mzazi/mlezi!
![]() |
Wanafunzi wakitazama mamba wakiwa Meserani Snake Park |
Karibu sana katika chapisho hili uweze kujionea matukio mbalimbali katika picha na video wanafunzi wetu walipofanya ziara katika makumbusho ya uhifadhi nyoka pamoja na reptilia wengineo maarufu kama Meserani Snakes Park. Wanafunzi pia walijionea ndege mbalimbali kama vile tai, njiwa na kadhalika. Wanafunzi waliweza kufurahia ngamia.Waliweza kupiga picha na ngamia pamoja na nyoka wadogo wadogo.
Karibu sana!
Bonyeza viungo hapa chini kuona matukio:
No comments