MPYA!!! MATOKEO YA MITIHANI - 13 NOVEMBA, 2017
Hujambo mwanafunzi!
Habari yako mzazi/mlezi!
Ni matumaini yetu mu wazima wa afya!
Karibu katika chapisho hili utazame matokeo ya watoto wetu!
Wengi wamejitahidi na wengine wameonekana kushindwa!
Ila hili lisiwe la kukatisha tamaa!
Kuona matokeo, tafadhali bonyeza picha hapa chini!!
ANGALIZO: BADO MATOKEO YANAENDELEA KUWEKWA
TAZAMA PICHA WANAFUNZI WAKIWA KWENYE MITIHANI HAPA CHINI!
![]() |
Joel Aggrey akitafakari jambo wakati wa mtihani |
![]() |
Shedrack Zakaria na Asia Ernest wakiendelea na mtihani |
![]() |
Anna Herman (mbele) akitafakari jambo wakati wa mtihani |
![]() |
Rahman Hassan akiwa tayari kukabiliana na mtihani |
No comments